wa mawartotoMkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Mtoto unamfafanua mtoto kuwa mtu yeyote aliye chini ya umri wa miaka 18. Miongozo hii inashughulikia masuala yanayowakabili watu woteWako baadhi ya watoto wanaozaliwa wakiwa na ulemavu na wengine hupata ulemavu wanapokuwa wakubwa. Katika jamii yetu wanazaliwa watoto wenye hitilafu